Kahaba wa Kiume - Hadithi Fupi ya Mapenzi af Linda G
?/100
Endnu ingen anmeldelser

Kahaba wa Kiume - Hadithi Fupi ya Mapenziaf Linda G

"Anakanyaga kwenye ardhi na kuzima injini, na ghafla anapovua helmeti yake na kuzitikisa nywele zake zilizomfika mabegani ili zisimame vyema kichwani, inanifanya nijihisi kuwa nimepumbazika. Mzizimo unanikimbia mwilini mwangu. Siwezi kudhibiti msukumo unaoyafanya macho yangu yamwangalie kwa juu, na ninafanya hivyo bila kusita. Macho yetu yanapokutana, mawimbi ya nguvu za umeme yananipita mwilini mwangu. Ninasahau kabisa kupumua, hadi pale ambapo mapafu yangu yanapoanza kudai pumzi ndipo ninapovuta hewa nyingi ndani."

Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
Linda G. ni mwandishi wa Kideni wa hadithi fupi za ashiki.
De bedste priser:
NetboghandlerPrisPris inkl. fragt
Bog&ide9,95
Bogreolen10,95
Kahaba wa Kiume - Hadithi Fupi ya Mapenzi af Linda G

Kahaba wa Kiume - Hadithi Fupi ya Mapenzi

af Linda G

Oversat af - Lust

Ebog (ePub), 15 sider

ISBN: 9788726216554

Udgivet 11-09-2019 af Lust

Ingen boganmeldelser ...

Vi er endnu ikke stødt på en boganmeldelse af 'Kahaba wa Kiume - Hadithi Fupi ya Mapenzi' i de 488 aviser, blogs og andre medier, vi har fulgt siden 2010. Men vi har fundet 112.845 andre anmeldelser af bøger.