FC Mezzi 3: Shuti Mkasi af Daniel Zimakoff
?/100
Endnu ingen anmeldelser

FC Mezzi 3: Shuti Mkasiaf Daniel Zimakoff

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana!

Jake, Nick, Peter, na wachezaji wengine FC Mezzi sasa wapo ligi kuu . kasi yao ni ya haraka, mashambulizi yao hayana mpangilio, na michezo inaonekana kuwa migumu zaidi kuliko hapo awali. Zaidi ya hayo, Nick na Zlatan wanagombana, na ikiwa hawatacheza kama timu, hawatakuwa na nafasi ya kushinda ligi. Je, Jake, ambaye ni nahodha, anaweza kufanya lolote kuhusu hilo? Na vipi kuhusu Ursula na Zlatan? Wanashirikiana?
Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo!
Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.
De bedste priser:
NetboghandlerPrisPris inkl. fragt
Bog&ide9,95
Bogreolen10,95
FC Mezzi 3: Shuti Mkasi af Daniel Zimakoff

FC Mezzi 3: Shuti Mkasi

af Daniel Zimakoff

Ebog (ePub), 25 sider

ISBN: 9788726254662

Udgivet 27-08-2019 af SAGA Egmont

Ingen boganmeldelser ...

Vi er endnu ikke stødt på en boganmeldelse af 'FC Mezzi 3: Shuti Mkasi' i de 488 aviser, blogs og andre medier, vi har fulgt siden 2010. Men vi har fundet 112.845 andre anmeldelser af bøger.