Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulika af Peter Gotthardt
?/100
Endnu ingen anmeldelser

Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulikaaf Peter Gotthardt

Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini.
Mahali fulani ndani sana kwenye mlima kuna fimbo takatifu ambayo inaweza kumzidi nguvu Mfalme mwenye Majivuno, ambaye ni adui mbaya zaidi wa Vibwengo. Lakini hakuna anayejua ilikofichwa. Je, Mkwamba na Rafiki zake wanaweza kuipata sehemu ilikofichwa kabla hawajachelewa?
Hiki ni kitabu cha tatu katika mfululizo wa vitabu vinne vya "Hatima ya Vibwengo." Visome vitabu vyote katika mfululizo:
Wanajeshi Shupavu Moyo wa Jabali Makaburi Yaliyosahaulika Filimbi ya Kichawi

Peter Gotthardt alizaliwa nchini Denmark karibu na Copenhagen mwaka 1946. Akiwa mtoto alipenda kusoma, na alitumia muda wake mwingi kujisomea katika maktaba za mkusanyiko wa vitabu vya historia na matukio. nnGotthardt ameandika zaidi ya vitabu 60 vya watoto ambapo vingi vimejikita kwenye uwanja wa Vibwengo.
De bedste priser:
NetboghandlerPrisPris inkl. fragt
Bog&ide9,95
Bogreolen10,95
Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulika af Peter Gotthardt

Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulika

af Peter Gotthardt

Ebog (ePub), 17 sider

ISBN: 9788726254570

Udgivet 27-08-2019 af SAGA Egmont

Ingen boganmeldelser ...

Vi er endnu ikke stødt på en boganmeldelse af 'Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulika' i de 488 aviser, blogs og andre medier, vi har fulgt siden 2010. Men vi har fundet 112.755 andre anmeldelser af bøger.