Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi af Sarah Skov
?/100
Endnu ingen anmeldelser

Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenziaf Sarah Skov

"Lamba-lamba ni chakula cha mwisho. Aliandaa kitindamlo vizuri kwenye sahani, lakini badala ya kumsifu yeye, nikakitelezesha kidole changu cha shahada kwanye ramba-ramba. Nikamgeukia na kumuangalia usoni, na kukiweka kidole changu mdomoni mwangu. Nikaufumbua kidogo na kuangalia jinsi macho yake yanavyoitazama ramba-ramba. Nikaufumba midomo yangu kukizunguka kidole changu na kisha kukinyonya kwa sauti kubwa."

Kila usiku baada ya kazi Anne anakuja nyumbani kwenye jumba tupu, lakini hivyo ndivyo anaridhika zaidi. Anaangalia miondoko ya mpishi kijana mdogo anayevutia katika onyesho halisia alipendalo. Anajifunza jinsi anavyokanda unga na jinsi anavyopika chakula kwa umakini na uangalifu. Anawaza ikiwa angeweza kuonyesha kujali kulekule kwake. Anawaza jinsi vidole vya mwanaume huyo vikiwa ndani ya chupi yake. Siku moja atakapopata nafasi ya kukutana naye ana kwa ana atafanya kila kitu kilicho ndani ya uwezo wake kumtongoza...

Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na mtunzi wa Kiswidi Erika Lust. Nia yake ni kuelezea asili ya binadamu na utofauti kwa kutumia hadithi za shauku, urafiki, tamaa na mapenzi katika kuunganisha hadithi zenye nguvu na sanaa inayochochea ashiki.
Sara Skovi ni jina bandia la mwandishi mdogo mwanamke. Pia ameandika hadithi fupi za mapenzi Shauku ya Owen Grey, Mapenzi ya kwenye Gari, Kumbukumbu zako na Mwanaume Mtetezi wa Wanaume.
De bedste priser:
NetboghandlerPrisPris inkl. fragt
Alle boghandlere
Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi af Sarah Skov

Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi

af Sarah Skov

Oversat af Dicentia Denmark A S & - Lust

Indlæst af Saida Maina

Lydbog til download

ISBN: 9788726270938

Udgivet 27-09-2019 af Lust

Ingen boganmeldelser ...

Vi er endnu ikke stødt på en boganmeldelse af 'Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi' i de 496 aviser, blogs og andre medier, vi har fulgt siden 2010. Men vi har fundet 113.781 andre anmeldelser af bøger.