Mnadhifishaji Tukio la 1: Orodha af Inger Gammelgaard Madsen
?/100
Endnu ingen anmeldelser

Mnadhifishaji Tukio la 1: Orodhaaf Inger Gammelgaard Madsen

Bertram na marafiki wake watatu; Jack, Kasper na Felix, wamekamilisha masomo yao hivi punde na kutengeneza genge ndogo la muda na kujiita The Hawks. Wao wanamfanyia kazi The Handler, ambaye huwalipa baada ya wao kuvunja maduka na kuuba fanicha bainifu za bei ghali pindi The Handler anapopata agizo kutoka kwa wateja wake. Bertram anaishi yeye na mama yake pekee anayefanya kazi kama mhudumu katika mkahawa. Mamake Bertram anaamini kuwa Bertram anapata pesa zake kutokana na kuwasilisha magazeti. Bertram hawezi kukumbuka mambo mengi kuhusu baba yake. Alikuwa na miaka saba tu wakati baba yake alishikwa baada ya kutekeleza mauaji na kuhukumiwa kifungo cha maisha kwenye jela. Siku moja Bertram anaiba jaketi ya bei ghali iliyotengenezwa kwa ngozi kwenye mkahawa ambao mama yake anafanya kazi. Anapata kitu kilichofichwa katika mfuko ulijificha chini ya bitana ya jaketi ile. Hili linaishia kutokea kwa maafa na sio kwa Bertram tu.

The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita.
Inger Gammelgaard Madsen (b. 1960) ni mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Inger Gammelgaard Madsen ana uasilia wa kisomo cha uchoraji wa vielelezo. Alianza kuandika hadithi zinazohusu uhalifu "Dukkebarnet" katika mwaka wa 2008. baada ya kitabu hiki, ameandika vitabu vingine kadhaa vinavyohusu uhalifu. Baadhi ya vitabu hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Slangers gift" (2014), "Dommer og bøddel" (2015) na "Blodregn" (2016).
De bedste priser:
NetboghandlerPrisPris inkl. fragt
Bog&ide29,95
Mnadhifishaji Tukio la 1: Orodha af Inger Gammelgaard Madsen

Mnadhifishaji Tukio la 1: Orodha

af Inger Gammelgaard Madsen

Oversat af - Lust & Dicentia Denmark A S

Indlæst af James Wetaka

Lydbog til download

ISBN: 9788726270891

Udgivet 27-09-2019 af SAGA Egmont

Ingen boganmeldelser ...

Vi er endnu ikke stødt på en boganmeldelse af 'Mnadhifishaji Tukio la 1: Orodha' i de 488 aviser, blogs og andre medier, vi har fulgt siden 2010. Men vi har fundet 113.197 andre anmeldelser af bøger.